MAN UNITED YASAJILI MPACHIKA MABAO ANGELO HENRIQUEZ KUTOKA CHILE

United he stands: Angelo Henriquez has officially been unveiled by Manchester United in a £4m deal
Angelo Henriquez akikabidhiwa jezi ya Manchester United
Manchester United hatimaye imethibitisha kusajili kinda la umri wa miaka 18, Angelo Henriquez. Mshambuliaji huyo wa Chile alifanyiwa vipimo vya afya katika klabu hiyo mwezi uliopita, kwa ajili ya uhamisho wa pauni Milioni 4, lakini usajili wake ulichelewa kuthibitishwa.

United he stands: Angelo Henriquez has officially been unveiled by Manchester United in a £4m deal
Angelo Henriquez rasmi ametua Manchester United kwa pauni Milioni 4
Nyota huyo wa Amerika Kusini anatua Old Trafford kutoka klabu ya Universidad ya Chile, ambako alifunga mabao 11 katika mechi 17 mwaka 2012 na kuisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa taifa lake.
Watching brief: Henriquez has been around the club for the best part of a month
Henriquez amekuwa na klabu hiyo tangu mwezi wote uliopita

Post a Comment

Previous Post Next Post