FID Q ATOA TAMKA JUU YA TUHUMA ZA KUKOPY NA KUPEST WIMBO WA DANGER


Siku tatu baada ya Fid Q kutuhumiwa na orijino komedi kwa kukopy na kupesti wimbo wake wa danger kutoka kwa msanii wa marekani,leo hii amezungumza na fetty na kusema kuwa jamaa aliechana kwenye beat hiyo ni mwizi,
"ametuibia sisi yaani mimi na producer choba..mwanzoni aliomba kuitumia lakini alishindwa kuilipia akaingia mitini.. ndio maana ni msanii ambae hapatikani twitter, facebook na wala hana website na yeyote atakaekuwa na info zake atuambie maana wenyewe tunamtafuta...msikilize hapo chini 


Fid Q hakuishia hapo aliendelea na kusema kuwa, tusione mtu mweupe tukadhani yeye ndio originator wa kitu flani...na kuzungumzia kuhusu wimbo wake wa sihitaji marafiki kuridiwa na mmarekani anaeitwa Benjamin kutoka Filladelfia Marekani, ambae ameomba kufanya hivyo...


na huu ndio wimbo uliorudiwa na Benjamin kutoka Filladelphia ukiwa na beat ya Sihitaji marafiki nao ukiitwa i dont need friends..nimeweka verse moja kwasababu bado ni demo haijakamilika

 

Post a Comment

أحدث أقدم