
Mwasiti
ambae kwa sasa anafanya vizuri sana na pini lake MAPITO, ametoa info
kuwa kwa sasa amefanya ngoma na producer mkubwa marekani anaeitwa
Hakeem.Producer Hakeem ameshatengeneza ngom aya Akon (i wanna be with
you),ngoma ya Youssundou nazingine kibao."Nimefanya nae ngoma mbili moja
ikizungumzia wanawake na matatizo yanayowakuta, ila ya pili ipo kibongo
fleva zaidi, nimefurahi sana na naiheshim sana kazi yangu." amesema
mwasity...msikilize hapo chini
إرسال تعليق