HIKI NDICHO ALICHOANDIKA SINTA BAADA YA KUNUNULIWA SIMU MPYA NA BABY WAKE


Hichi ndicho alicho andika Sintah Aka Jlo wa Bongo Baada 
 
ya anae dai Baby wake kumnunulia Simu Ingine:

Lolest kabla ya saa 24 toka aibiweee akapata simu mpya

"Huyu ndiye j wake lo, unstoppable,

Southern sun hotel mmetishaaaaaa, thanks kwa kumpatia jlo EA. VVIP treatment  masaa matano simu ikawa ready.

ndio maana sikai vi bar vya uchochoroni, looooh nimetoka huko nilipokuwa nikaenda Southern sun coz it is a place to be.


sijaibiwa Samsung galaxy niliyonunuliwa na GOVINDA, nimeibiwa blackberry na nimenunuliwa mpya

thank u ma baby for the support yaani unakuwa sitaki natakaaa,

basiiiiii sawa baby love u always

TRUE LOVE NEVER DIES" Sintah

Post a Comment

أحدث أقدم