HIVI NDIVYO SALAMA JABIR ALIVYOLAZIMISHWA KUPAKA PODA


Duh! Ilikuwa kazi sana kumpata Salama Jabir ili tumpeleke akapate poda, lakini kwa sababu ya maombi yenu...imebidi tumshike kwa nguvu na kumfikisha kwa mtaalamu wa urembo ili mmuone akipata poda! Je, imekaaje hiyo? "Comment" kama unaikubali!

Post a Comment

Previous Post Next Post