![]() |
| Mariah,Ryan,Randy Nicki Minaj |
Imethibitishwa
kuwa Rapper wa Young Money Cash Money ,Nicki Minaj Ndiye Judge mpya wa
Mashindano ya vipaji 'American Idol' na atafanya kazi na Judge wenzake
kama Mariah Carey, Randy Jackson and Keith Urban. Habari hizi
amezitangaza Host wa American Idol Ryan Seacrest kwa kuweka picha hii
wazi ikifuatiwa na ujumbe huu.
"It's official,your new#IdolJudges are @MariahCarey,@NickiMinaj,@KeithUrban&@Yo_RandyJackson!"
Napenda ufahamu kuwa American Idol inadhaminiwa na Cocacola na Nicki Minaj ni Balozi wa Pepsi ndio maana mkataba wake ulileta tatizo mwanzoni, Maongezi yalifanyika kati ya hizi kampuni mbili na wakafikia makubaliano. Baada ya Nicki Minaj kutangazwa kama Judge imesemekana show ya America Idol itakuwa na Drama na vituko zaidi.
"It's official,your new

Post a Comment