MBWANA SAMATA MCHEZAJI ANAE PEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BARANI AFRIKA

Hili ni moja ya bango la kumsifia Mbwana Samatta lilochorwa na washabiki wa Mazembe

Huyu ni shabiki wa Mazembe akiwa na jezi yenye jina la Samatta
Kama Spain -vile ni vigari maalum kubebea wachezaji wanaoumia uwanjani katika uwanja wa TP Mazembe
Mbwana Samatta mwenye jezi namba 15 akiwa anapigwa konga na beki wa Al Ahly
Huyu ndio mshabiki aliyevaa jezi yenye jina la Samatta
Mfalme wa Mazembe Tresor Mputu akiwafanyia balaa waarabu
Kidiyaba ndani ya uzi wake wa golikipa
Majembe ya Kitanzania Thomas Ulimwengu na Mbwana Ally Samatta wakiwapeleka puta mabeki wa Al Ahly katika mechi ya robo fainali ya kombe la mabingwa wa Afrika iliyofanyika juzi jumapili.

Post a Comment

أحدث أقدم