MSAJILI WA VYAMA ATANGAZA KUKIFUTA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA NCHINI KITAKACHOCHEA VURUGU NA KUVUNJIKA KWA AMANI.

Na.MO BLOG TEAM
Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania Bw. John Tendwa akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari mapema leo ofisini kwake ambapo amesema sasa ni mwanzo na mwisho kwa chama chochote cha siasa kujihusisha na vurugu ambazo zinapelekea kutokea kwa mauaji. Hivyo amewataka wanasiasa wote nchini kufanya siasa za busara bila vurugu ya aina yoyote. Amesema hapendi mtu afe kwa ajili ya mikutano na kutaka sasa tufikie mwisho wa mauaji.
Chanzo: Moblog

Post a Comment

Previous Post Next Post