STANBIC YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA BENKI YA CHINA ICBC

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bashir Awale (kulia) akisaini hati za makubaliano ya kimkakati na Meneja Mkuu wa Wateja wa Makampuni wa Benki ya Biashara na Viwanda ya China (ICBC), Jiang Tao (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi Kampuni ya madini ya Tanzania China Mineral Resources inayoundwa kwa pamoja kati ya kampuni ya Kichina ya Sichuan Hongda  na Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), Zhao Daoquan jijini Dar es Salaam juzi jioni. ICBC  inamiliki asilimia 20 ya hisa katika benki ya Standard ya Afrika Kusini benki mama ya Stanbic Tanzania. 

Post a Comment

Previous Post Next Post