
Umati wa watu wakiwa wanaandamana kuvunja uzio na kuweka soko mikononi mwao

Hapa Wakati wanachoma Mbao pamoja na Mataili wananchi wengine wanabomoa bomoa uzio

Hivi Ndivyo wananchi wanavyo Choma matail muda huu eneo la uwanja wa
Kilombero ambao uliuzwa kinyemela na sasa wananchi wamerudisha na
kulifanya soko.Kwa hisani ya Haki Ngowi Blog
إرسال تعليق