Basi lililokuwa limewabeba wanachama wa CCM ,linavyoonekana baada ya ajali hiyo.
Katibu wa NEC,akimfariji mmoja wa majeruhi waliokuwa kwenye bus
ambalo ajali yake imesababishwa makusudi na dereva ambaye aliwaambia
yeye Chadema na asingependa kusikia nyimbo za CCM
إرسال تعليق