HAYA HAPA MAKUNDI YA TIMU ZITAKAZOPAMBANA AFCON 2013.

Droo ya kupanga makundi ya timu za Afrika zinazoshiriki Afcon 2013 imechezesha jana mjini Durban, Africa Kusini na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.
Group A: South Africa, Morocco, Cape Verde, Angola
Group B: Ghana, Mali, Niger, DR Congo
GROUP C: Zambia, Ethiopia, Burkina Faso, Nigeria
Group D: Ivory Coast, Togo , Algeria, Tunisia

Post a Comment

Previous Post Next Post