Nakumbuka kuna kipindi tumewahi ripoti juu wa chimbo moja ambalo ni kitovu cha maovu.......
Chimbo hilo tulilifananisha na SODOMA na GOMOLA.Tuliweka picha za kutosha kabisa kuijulisha jamii juu ya uchafu huo........
Serikali zote zinatambua vizuri maana
kuna picha inawaonesha ASKARI WAWILI ambao walifika eneo hilo kwa lengo
la kuwakama watu hao.......
Kilichofanyika ni kwamba, askari hao walipewa chao, then WAKASEPA, na kazi ikaendelea kama kawaida.......
Hii ndo video clip ya tukio hilo.HII NI PART 1.
إرسال تعليق