ISRAEL/PALESTINA,  Majeshi ya Palestina yamerusha maroketi zaidi 
ya 40 kuelekea Israel hapo jana huku isarel na wenyewe wakifanya 
mashambulizi ya anga kuelekea Ukanda wa Gaza.
Kwa mujibu wa hospitali huko Gaza  zimesema kuwa Wanajeshi watatu 
waliokuwa wakijiandaa kufanya Shambulio la Roketi waliuawa  Wna wenginei
 wengine wanane kujeruhiwa, huku shambulio kuelekea Israel likijeruhi 
watu kadhaa.
Mashambulio hayo yamefuatia mwanajeshi mmoja wa Israeli kujeruhiwa vibaya katika Shambulio la Bomu alipokuwa akifanya Doria mpakani Kissufin eneo la Gaza hapo juzi.
Chama cha Hamas kimethibitishwa waliouawa kuwa wanajeshi wake huku waziri Mkuu wa Israeli Benjamini Netanyahu akiahidi kulipa kisasi kwa Gaza amabao amewatuhumu kuungwa mkono na Tehran.

إرسال تعليق