Sikiliza hapo 255 ya mwanadada Dee Andy kuhusiana na ile issue ya Lord eyez
ilyotokea siku ya ijumaa mida ya jioni hivi.sasa mtu mzima Joh makini
ameongea machache kuhusiana na hiyo issue baada ya kusikia katika
mitandao mbalimbali anafunguka kama hivi.
JOH MAKINI AFUNGUKA JUU YA ISSUE YA KILE ALICHOKIFANYA LORD EYEZ, MSIKILIZE HAPA
Hisia
0
إرسال تعليق