Ama hakika hakuna mama anaemtakia maisha mabaya mtoto wake awe wa kike
ama wa kiume, siku zote wako mbele kuhukakisha tunakuwa na maisha
yanayoridhisha..kupitia Top 20 ya Clouds Fm na Fetty mama mzazi wa
msanii Recho alifunguka kuhusu aina ya mwanaume angependa mwanae amuoe,
ambapo licha ya watoto wengi wa kike kukimbilia wanaume wenye pesa, mama
mzazi wa Recho angependa mtoto wake aolewe na mwanaume mwenye Elimu...
zaidi msikilize hapo chini
إرسال تعليق