Kwenye
ukurasa wa uamsho wamesema Kiongozi huyo amepatikana hai usiku wa
kuamkia leo.kabla uamsho waliipa serikali masaa 26 hadi leo alasiri
amiri wao awe amepatikana vinginevyo hali itakuwa mbaya
Kiongozi Wa Uamsho Apatikana-Serikali Yapiga Marufuku Vipindi Vya Redio Na Television
Hisia
0
Post a Comment