KUNA TETESI KUWA "RAY C" AMEKUWA TEJA KISA KIKIWA NI MADAWA YA KULEVYA.....HIVI SASA AMELAZWA

HII  NDO RIPOTI YA MTANDAO WA  MSN
Kuna tetesi kuwa Ray C kwa sasa kawa teja la kutupwa na kwa sasa amelazwa hospitali moja huko mbulu.
 Dar kawakimbia waandishi wa habari. Tetesi zaidi zikipatikana zitaletwa kwenu wanajamvi. 
Uteja wake umemfikisha mahala pa kuwa akikutembelea nyumbani kwako, hasa ndugu lazima aondoke (aibe) na chochote hata kama ni ndala, kama ilivyo kawaida ya mateja wengine.....




Post a Comment

Previous Post Next Post