NDEGE ILIYOSABABISHA KIFO CHA KEPTEIN MAGUSHI BAADA YA KUPATA AJALI WAKATI AKILITUMIKIA TAIFA HII HAPA ITAZAME

jwtz ndege ya jeshi iliyopata ajali Picha za ndege ya JWTZ iliyopata ajali
ndege ya jeshi iliyopata ajali jwtz Picha za ndege ya JWTZ iliyopata ajali

 Pichani ni muonekano wa ndege ya Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ), iliyopata ajali juzi. Ndege hiyo ndogo ya kijeshi ya mazoezi, (Military training aircraft) namba JW 9129 ilipata ajali na kusababisha askai mmoja kufariki na mwingine kujeruhiwa katika ajali hiyo wakati marubani wanafunzi wa jeshi wakitumia ndege hiyo kufanya mazoezi.

 
Mmoja wa wanajeshi hao, Kepten Deogratiusi Magushi, alifariki dunia na mwingine kepteni Feruzi Kwidika, alijeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere eneo la airwing Ukonga jijini Dar es Salaam. Picha na JWTZ

Post a Comment

أحدث أقدم