![]() |
Haruna Niyonzxma akiambaa na mpira |
![]() |
David Luhende akivuta tela lake |
![]() |
Haruna Niyonzima baada ya kutia krosi |
![]() |
Mbuyu Twite akimdhibiti Nicholas Kabipe wa Polisi, huku Nahodha Nsajigwa Shadrack akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
Jerry Tegete akiwania mpira na beki wa Polisi |
![]() |
Penalti...Msuva akiwa ameangushewa kwenye eneo la hatari na beki wa Polisi kulia |
![]() |
Barthez amedaka |
![]() |
Kocha Ernie Brandts akimpongeza Kavumbangu baada ya mechi, kulia Kocha Msaidizi Freddy Felix Minziro |
![]() |
Hatari kwenye lango la Polisi |
![]() |
Msuva akienda chini baada ya kupigwa kwanja na beki wa Polisi (hayupo pichani) |
![]() |
Msuva akishangilia bao lake |
![]() |
Hatari kwenye lango lango la Yanga |
Picha na Bin Zubeiry(http://bongostaz.blogspot.com/ ) | |
Kavumbangu anamuwajibisha beki wa Polisi |
![]() |
Kavumbangu anafanya vitu |
![]() |
Kiiza katika mishe mishe |
![]() |
Kiiza anakwenda |
![]() |
Hatari kwenye lango la Yanga |
![]() |
Nahodha Nsajigwa anatia krosi |
![]() |
Kazi kazi |
![]() |
Kavumbangu anazuia mpira uliopigwa na mchezaji wa Polisi |
![]() |
Msuva alipofunga bao lake |
![]() |
Kavumbangu akichomoka kushangilia baada ya kufunga |
![]() |
Tegete akishangilia na Kavumbangu |
![]() |
Kavumbangu akisababisha |
إرسال تعليق