WIZ KHALIFA ANATAMANI ONE DAY AFANYE KAZI NA NAS


Ni moja kati ya wasanii wanofanya vizuri katika game la mziki nchini marekani sasa taarifa ambayo imeweza kuenea katika mitandano mbalimbali ni kwamba siku za hivi karibuni msanii huyu aliweza kuweka wazi na kusemba anatamani siku moja aje kufanya kazi na mtu mzima Nas kwani anachotaka yeye mziki wake ufike level za juu zaidi na ndiyo maana anatamani siku waingie studio na mtu mzima Nas na wapige kazi alisema hayo baada ya kufunguka kuhusiana na ujio wake mpya wa album inayokwenda kwa jina la O.N.I.F.C ambayo anatarajia kuiachia  soon Desemba tarehe 4.baada ya  hapo Wiz Khalifa pia aliweza kufunguka na kuhusiana vitu ambavyo ana feel katika maisha aliweza kutaja favorite cartoon character akataja Donatello of The Teenage Mutant Ninja Turtles na vitu vingi kibao kama

Post a Comment

Previous Post Next Post