Mtangazaji mahiri kutoka Clouds Fm nyakati za usiku almaarufu kama Loveness a.k.a mimi
kama unakumbuka siku za zilizopita aliweza kuungana na watu mbalimbali
katika kuchangia mfuko wa watoto yatima pamoja na watu wasiojiweza sasa
ameamua kuirudisha tena sasa
Latest info kutoka kwa mwanadada ni kwamba ameamua kuirudisha tena Diva giving for Charity inatarajia kuanza rasmi siku ya tarehe 20 mwezi wa Desemba kwa hiyo kama wewe ni mtanzania na unahitaji kuchangia kitu chochote kuhusiana na watu wasiojiweza basi unaweza ukatuma kiasi chochote cha pesa kwa kupitia namba hii hapa 0655879287 for Tigo pesa only ili uwe moja kati ya watu watakao kuwa pamoja na Diva wakati wa kutoa msaada huo.kwa hiyo kuanzia sasa unaweza ukatuma pesa hiyo kwa kupitia namba hiyo.

إرسال تعليق