
Katibu Mkuu wa CCM,Kanali Mstaafu, Abdulrahman Kinana akipokea saluti
ya Chipukuizi wa CCM, wakati wa mapokezi yake kwenye Uwanja wa Ndege wa
Sumbawanga mkoani Rukwa, alipowasili mkoani Rukwa, jana, akiwa katika
ziara yake ya siku nne kujitambulisha, kukagua na kueleza kwa wananchi
utekelezaji wa Ilani ya CCM katika mkoa huo na mikoa ya Mtwara, Geita na
Arusha. (Picha zote na Bashir
K. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nape
akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana mjini Sumbawanga

Kinana akimsalimia aliyekuwa mbunge wa Sumbawanga mjini
Hilary Aeshi, kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga mkoani Rukwa, jana.

Wajumbe wa mkutano wa shina namba moja la Kisesa
mkoani Rukwa wakimsikiliza Kinana wakati akiwahutubia, aliposhiriki
mkutano wao uliofanyika jana.

Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, Aggry Mwanri akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM
uliofanyika jana mjini Sumbawanga

Nape NNauye akihutubia
Picha na Bashir Nkhoromo
Picha na Bashir Nkhoromo
إرسال تعليق