New Track: Stamina - Moro Moro-Hii ni Remix ya Mwanza Mwanza wa Fid Q
Hisia0
Stamina kakaa chini na Mtu Mzima FID Q na kumuomba Beat ya Wimbo Maarafu
wa Mwanza Mwanza ili afanye Remix ya Wimbo Huo..Mzee Mzima FID Q Kampa
Beat na kutoa wimbo unaitwa Moro Moro...Msikilize Hapa Kama Amemfunika
FID Q ama La? Toa Maoni yako Hapa
إرسال تعليق