Ikiwa ulipata fursa ya kusikiliza (audio na text ya RIPOTI NZIMA, bofya hapa) Spika alipomaliza kusoma ripoti ya Kamati ya Bunge iliyoongozwa na Mhe. Ngwilizi kuhusu tuhuma za rushwa dhidi ya Wabunge na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, utakuwa ulimsikia Mhe. John Mnyika akitaka kuzungumza lakini hakupata fursa hiyo.
Baadaye kwenye ukurasa wake wa facebook na twitter, Mnyika aliandika hivi:
إرسال تعليق