TUMEJIZATITI KUINUA NAKUSAIDIA VIPAJI VYA WASANII WACHANGA VIONEKANE ILIKUONGEZA AJIRA KWA VIJANA. - MAC-MEDIA PRODUCTION

Mkurugenzi wa kampuni hiyo bwana Emmanual Shayo
 
Moja kati ya ma model wanaotoka katioka kampuni hiyo

Mac-media production kampuni inayojihusisha na utayarishaji na uandaaji wa filamu huku ikijikita pia katika fani ya urembo na mavazi,sasa imeamua kujeukia katika fani ya mziki.Akiweka zamira yake hiyo Production Manager wa kampuni hiyo Nyanjara Maengu alisema wamejiandaa vyakutosha kuhakikisha wanafikia dhamira yao hiyo ya kunyanyua vipaji vya wasanii wachanga" Unajua makampuni mengi yanajikita kuangalia wasanii wakubwa ikiwa nipamoja nakuwapa mikataba huku wakiwasahau wasanii wachanga wakati hawa ndio mizizi ya sanaa"Hata hivyo akienda mbali zaidi Maengu alitanabaisha kwamba kampuni yake imeamua kuanza na wasanii 20 ambapo hadi sasa wameshapatikana wasanii kumi bado kumi."Hadi sasa tayari tumeshafanya mchujo nakupata wasanii kumi bado tunatafuta wengine kumi.Tukisha wapata wote tutaanza kufanya promo za nyimbo zao kwa wale waliorekodi tayari na kwawale ambao hawajarekodi bado tutawaingiza studio watarekodi na baada ya hapo utaratibu wa promo utaendelea,kwasasa tunachukua hawa ishirini tuu ila baadae tutaongeza kadri tuwezavyo"alisema Maengu,pamoja na kuingia katiaka muziki pia amesema wao wanajhusisha pia na kuwasaidia wasanii wa filamu na tamthilia kufikia malengo yao ikiwa nikutoa mafunzo ya sanaa ya darasani bure na kuwashirikisha katika kazi zao za filamu na tamthilia kwasasa amesema wana idadi ya wasanii 40 wakuigiza pia amekaribisha wale wote wenye vipaji na ambao wanania ya kweli watapokelewa. Ukitaka kuwasiliana na Mac-media production unaweza ukawatumia e-mai:macmediapro95@gmail.com au tembelea ukurasa wetu wa facebook simu: 0717 20 33 76 au njoo ofisi zetu zilizopo kimara mwisho karibu na shule ya Midland.

Post a Comment

أحدث أقدم