Baada Ya Wasanii Wengi Kuimba Kuhusu Mapenzi,Siasa,Mazingira,Ukimwi Na Vitu Vingine Msanii Anko Joz Akiwa Na Juma Nature Na Stopa Wamekuja na idea ya tofauti sana Kwa ajili ya Kukumbusha jamii mambo ya msingi.
Wamefanya Ngoma zaidi ya 5 Kuhusu Ajali za Barabarani, Ajali imekua
nyingi na nyingine zinasababishwa na uzembe Na Ajali Zinaua sana hata
kuliko ukimwi na magonjwa mengine..Video Imedhaminiwa na NATIONAL ROAD SAFETY COUNCIL OF TANZANIA Chini Ya Kamanda Mpinga...
Hongereni Na Wasanii Wengine Waige Kufanya nyimbo za mafundisho
zinazokumbusha jamii kuwa waangalifu katika kila kitu hasa ajali mbaya
zinazotokea kila siku na kuua ndugu,jamaa na marafiki kila
siku...Tanzania Bila Ajali Pia Inawezekana
إرسال تعليق