WASANII WA BONGO MOVIE NA WATANWAKWAMA GETINI UWANJA WA SAMORA GAZAJI

 Basi la Chaula likiwa limekwama getini katika uwanja wa Samora na kuwafanya wachezaji wa timu ya Bongo Movie na Watangazaji wa radio za Iringa kukwama
Hapa basi hilo likisukumwa na wasamaria wema
 Gari la  watangazaji  wa radio Nuru FM ,Ebony ,Country Fm na Furaha Fm ambao  wamecheza  leo
Gari la wasanii wa bongo Movie likiwa  limekwama

Post a Comment

أحدث أقدم