Tabia ya kupiga picha chafu za utupu imeendela kuwatafuna akina dada hapa nchini.....
Tabia hii ilianzia kwa wasanii maarufu kama WEMA SEPETU, JACK WA CHUZ, LULU MICHAEL RAYUU na sasa imeingia kwa warembo wa kawaida ......


Pamoja na jitihada za kuwaanika watu hawa, tabia hii imeendelea kuota mizizi kila kukicha.Wahusika wakuu wa uchafu huu ni akina dada.......Iko haja kwa akina dada kujitathmini.....Kwa nini kila siku ni wao tu??? Kwa nini ukubali kupigwa ukiwa mtupu tena na mtu ambaye mmekutana na kupeana penzi tu????....
Pengine ni tamaa ya pesa.Nadhani hii ni biashara.Nashawishika kuamini kuwa hawa watu hupiga hizi picha kwa makubaliano maalum ya fungu flani la pesa.....
Nasema hivi maana ni ngumu sana kwa mtu mwenye akili zake kukubali kuaibika kisa PENZI.
Na kama ni tamaa ya pesa, basi haya ndo matunda yake maana KILA MTU HUVUNA APANDALO....




Post a Comment