GAUDENCE MWAIKIMBA NA SEIF MAGOLI WALIVYOING'ARISHA AZAM LEO KINSHASA

Gaudence Mwaikimba, akimshukuru Kipre Tchetche kwa pasi ya bao katika mchezo wa leo wa Kombe la Hisani kwenye Uwanja wa Martyrs mjini Kinshasa, DRC. Azam ilishinda 2-1.
Picha Na:- Bin Zubeiry blog
Gau na Uhuru wakisababisha kwenye lango la Real 

Kocha Stewart akifuatilia mchezo

Daktari Paulo Gomez anamtibu Waziri Salum, kulia ni Uhuru akimsaidia

Gomez anamtoa Gau  baada ya kuumizwa

Kipre Tchetche anagulia maumivu,. Hakurudi uwanjani

Gomez anamtibu Humphrey Mieno, hakurudi uwanjani pia

Kutoka kuolia Abdi Kassim, Uhuru Suleiman na Zahor Pazi wakiwa kwenye benchi

Kikosi cha Azam leo

Kipre Balou anatafuta njia

Mieno amewekwa chini kwenye eneo la hatari, lakini hii refa alimezea

Himid Mao kamuacha mtu chini, anafanya mwendo

Kipre Tcheche balaa, cheki anavyopaa

Kipre Tchetche ni noma

Seif Abdallah anamuacha mtu

Nahodha Jabir Aziz akimpongeza kijana wake Seif kwa kupiga bao la pili

Post a Comment

Previous Post Next Post