
Siku ya jana mkali wa Hip Hop maarufu kama Roma Mkatoliki,baada
ya kufikisha miaka kadhaa aliweza kusherekea birthday yake na marafiki
mbalimbali katika duka lake jipya linalofahamika kwa MATHEMATIX CLASSIC WEAR TANGA CENTRAL huko mkoani Tanga.





Post a Comment