Naibu Waziri, Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Amos Makalla Nae Alamba Nondo Ya Uzamili Katika Biashara Kutoka Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam


  Naibu Waziri, Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Uzamili ya biashara (MBA) wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam yaliyofanyika jana katika Ukumbi wa Diamond Jumblee.
  Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla(Katikati) akiwa na baadhi ya wahitimu wenkaze
  Naibu Waziri wa Habari VijanaUtamaduni na Michezo Amos Makala akipongezwa na Mbunge wa Mkanyageni (CUF) Habib Mnyaa muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya uzamili ya biashara wakati wa Mhafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam
  Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Amos Makalla akiwa na familia yake muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya biashara (MBA) wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam yaliyofanyika jana  katika ukumbi wa Diamond Jublee
Naibu Waziri, Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Uzamili ya biashara (MBA) wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam yaliyofanyika janakatika Ukumbi wa Diamond Jumblee

Post a Comment

أحدث أقدم