Aliyekua
member wa Destiny's Child, Beyonce Knowles amepata bonge la shavu la
ku-sign deal nono na Kampuni ya Pepsi. Deal hilo limezidi kumfanya awe
Celeb aliyeingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka huu 2012.
Deal hilo limezua kizaazaa huku kila mtu akiamini mkwanja aliolipwa Beyonce kutokea kwenye tangazo hilo ni mkubwa kupitiliza.
Inaaminika Mwanadada huyo ambaye ni mke wa Rapper Jay-Z amelipwa kiasi cha $50 million sawa na zaidi ya Billioni 75 za kitanzania kwa ku-appear tuu kwenye hilo tangazo

إرسال تعليق