




Mrembo Brigitte Alfred Redds Miss Tanzania 2012 akikabidhiwa zawadi ya
gari yake Jana tarehe 10 Desemba 2012 na Katibu Mkuu wa Kamati ya
Miss Tanzania, bw. Bosco Majaliwa. katika ofisi ya Lino International
Agency Limited zilizopo Mikocheni jijini D'salaam
إرسال تعليق