
Hii ndiyo ofisi ya kitongoji cha Kanyara
visiwani nyamango ziwa victoria, kwa juu kama inavyoonekana kwa chini
ni Sero (Mahabusu)inayotumika kuwahifadhi wa halifu ambayo mwandishi wa
habari Mobini Sarya aliwekwa chini ya ulinzi kwa masaa 6.
Kwa Hisani ya Mobindayblogspot
Post a Comment