
Mwanamke mmoja nchini South Africa ameuanza Mwaka 2013 vibaya baada ya
kupokea kichapo cha haja na kuvuliwa nguo hadharani. Tukio hilo
limetokea usiku wa mkesha wa mwaka mpya ambapo mke alimwambia mumewe
kuwa anakwenda kanisani kwa ajili ya mkesha huo na ndipo njemba hiyo
ikautumia mwanya huo kumualika nyumbani kimada wake, baada ya kula raha
zao walipitiwa na usingizi na ndipo mke wa halali aliporudi nyumbani na
kumjazia watu mumewe huku akimkwida kimada huyo na kumsaula nguo!
Post a Comment