HEBU WACHEKI SUGU AKIWA NA MARIA WA TWANGA PEPETA...!


Nyota wa muziki wa Bongo flava Joseph Mbilinyi aka Sugu alikuwa na furaha kukutana na Maria ambaye ni mcheza shoo wa african Stars aka  Twanga Pepeta.Hii ni miaka minne iliyopita na hapa ni  ukumbi wa TCC (Sigara) Chang'ombe Temeke jijini Dar es salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post