Ni mara nyingi huwa
tunaishia tu kuatazama Trailer au movie yenyewe lakini ni wachache
wanaojishughulisha kutazama jinsi movie ilivyokua ikitengenezwa, leo Hisia za Mwananchi inakuletea dakika 7 za behind the scenes ya movie ya The
Bourne Legacy, ni jinsi ilivyokua ikitengenezwa.
إرسال تعليق