BRAISON
SALEMA na RICHARD KILONZO wa ARUSHA wamejishindia kitia cha shilingi
milioni 15 kila moja katika promosheni ya shinda kimilionea
inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya AIRTEL TANZANIA kwa
wateja wake.
Akizungumza wakati wa kuchezesha promosheni hiyo jijini
DSM,Ofisa mawasiliano wa AIRTEL JACKSON MBANDO amewataka wateja wa
mtandao huo kuendelea kucheza kwani zawadi badi ni nyingi
Post a Comment