FID Q:- STAMINA ALISIKITIKA SANA KWA KUVUJA KWA NGOMA YAKE MPYA YA USHAURI NASAHA NA NDIYO SABABU YA KUTOA "WAZO LA LEO"

Msanii wa Hip Hop kutoka Mwanza maarufu kama Fareed Kubanda a.k.a Fid Q baada kuona ujio mpya wa Stamina unakuja vizuri katika tasnia hii ya muziki wa Hip Hop leo aliweka wazi na kusema kwamba Stamina hakuwa na dhumuni la kutambulisha ngoma yake mpya mapema inayokwenda kwa jina Wazo la Leo ila sababu ni baada ya ngoma yake nyingine mpya inayofahamika kwa jina la Ushauri nasaha kuvuja ndiyo stamina anaamua kuchukua uamuzi wa kutambulisha ngoma yake mpya Wazo la Leo.
Kupitia katika ukurasa wa twitter leo Fid ndiyo aliamua kuweka wazi kwa mashabiki kuhusu Stamina








Post a Comment

Previous Post Next Post