Jana dunia iligubikwa na habari zilizozunguka kila kona ya mitandao ya
jamii, zikielezea ugomvi uliotekea siku ya jana, kati ya Chris Brown na
msanii mwenzake wa r&b Frank Ocean, kwa kile kinachodaiwa ni
kugombania parking ya gari katika studio za westlake.
stori iliyokuwepo ni kuwa, Frank alikasirika baada ya Chris Brown kupaki
katika parking yake, na Chris Brown alizuiwa kutoka baada ya kumblock
kwa nyuma, lakini ugomvi ulianza baada ya Chris brown kujaribu kushikana
mkono na Frank Ocean.
sasa the New York Post wameripot kuwa na habari isiyo nzuri baada ya
Sheriff wa LA kutoa repot ya kuwa, Frank anadhumuni la kufungua
mashtaka kwa kumpiga ngumi na kuanzisha ugomvi nje ya studio za
westlake, west Hollywood, jumapili asubuhi
Polisi wanataka kuongea na Brown ambae bado yupo brobation kwa kipigo alichompa Rihanna mwaka 2009
Post a Comment