Siku chache baada ya kutangaza kurudi kwenye game ya bongo fleva, na kuahidi kuendelea kubaki kwenye game ya gospel, na msanii ambae angependa kufanya nae kazi ni Linex kwakua anavutiwa na uimbaji wake, swali lililobaki ni je show zinazofanyika club akiitwa atafanya ama atazichunia kutokana na kuendelea kustik kwenye game ya gospel????
stara amejibu msikilize hapo
Credit:- http://djfetty.blogspot.com
Post a Comment