HEKAHEKA YA LEO JAN 29 UNAWEZA KUISIKILIZA HAPA, NI YA JAMAA ALIESIMAMISHWA UUME NA MWANAUME MWENZAKE.


Geah Habib.
Kweli waswahili ni noma aisee, hii hekaheka ya leo january 29 2013 inahusu jamaa mmoja Ukonga Dar es salaam ambae uume wake umesimama toka afanye mapenzi na mke wa mtu, yani inaaminika mume mtu ndio kaamua kumfanyia hivyo kama kumkomesha kutembea na wake za watu, isikilize hii stori hapo chini ambapo dada wa huyo kaka alievimba ndio anaongea
 
 
 

Post a Comment

أحدث أقدم