Mtandao wa Ghafla Kenya uliripoti siku kadhaa zilizopita kwamba video ya
P Unit na Collo – ‘U guy’ imefungiwa na kituo maarufu cha TV nchini
Kenya (Citizen) kutokana na kuwa na picha zinazochochea ngono na ambazo
hazifai kwa kituo kama hicho, huyu ndio mrembo ambae inaaminika
amesababisha hiyo video kufungiwa.
Huyu ndio Video Qeen Aliye Sababisha Video Mpya ya P-unit "U guy'" Kupigwa Marufuku Kwenye Citizen TV
Hisia
0
Tags
ENTERTAINMENT
Post a Comment