Huyu ndio Video Qeen Aliye Sababisha Video Mpya ya P-unit "U guy'" Kupigwa Marufuku Kwenye Citizen TV

Mtandao wa Ghafla Kenya uliripoti siku kadhaa zilizopita kwamba video ya P Unit na Collo – ‘U guy’ imefungiwa na kituo maarufu cha TV nchini Kenya (Citizen) kutokana na kuwa na picha zinazochochea ngono na ambazo hazifai kwa kituo kama hicho, huyu ndio mrembo ambae inaaminika amesababisha hiyo video kufungiwa.

Post a Comment

أحدث أقدم