Binti mwenye umri mdogo ulioambatana na kipaji kikubwa katika kughani
anayekwenda kwa jina Lady Yoo, anadrop brand new single "lady yoo"
ilosukwa pande za noizmekah.com
ikiwa ni hardcore hiphop track inayomtambulisha mwanadada rappa katika
game.sikiliza na kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi kuhusu
mahojiano

Post a Comment