DJ CHOKA:KUNA WATU WANASEMA PROFESSA JAY KAFA NI UONGO SI HABARI ZA KWELI


Baada mitandao mbalimbali kuandika story kuzusha kwamba Professa Jay amekufa wakati si kweli ni story za kuzusha tu.Sasa leo Dj choka kwa sababu ni mtu wake wa karibu sana aliweza kuandika katika ukurasa wake wa facebook na kusema ni story za uongo sasa na mtu mzima Professa Jay naye akaweka wazi soma hapo.

Post a Comment

Previous Post Next Post