
Baada mitandao mbalimbali kuandika story kuzusha kwamba Professa Jay
amekufa wakati si kweli ni story za kuzusha tu.Sasa leo Dj choka kwa
sababu ni mtu wake wa karibu sana aliweza kuandika katika ukurasa wake
wa facebook na kusema ni story za uongo sasa na mtu mzima Professa Jay
naye akaweka wazi soma hapo.


إرسال تعليق