Mtangazaji wa Choice FM 102.5 maarufu kama Vanessa Mdee baada ya kuachia
ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Closer,sasa tumefahamu kwamba
ngoma hii inazidi kukubali na kuchezwa na ma Deejayz na radio mbalimbali
za nchini Kenya.Big up to her!!!!!!!!!!!!
إرسال تعليق