Lady Yoo toka Sanawari Arusha [Audio]

Binti mwenye umri mdogo ulioambatana na kipaji kikubwa katika kughani anayekwenda kwa jina Lady Yoo, anadrop brand new single "lady yoo" ilosukwa pande za noizmekah.com ikiwa ni hardcore hiphop track inayomtambulisha mwanadada rappa katika game.sikiliza na kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi kuhusu mahojiano
 

Post a Comment

أحدث أقدم